NORWAY KUTOA HUDUMA YA MATIBABU SHULE YA KIEMBE SAMAKI Z'BAR.
Naibu Waziri wa Afya
Mahmoud Thabit Kombo akijibu masuala ya waandishi wa habari kuhusiana na
kuwasili madaktari wa Shirika la Specsaver ambao watafanya uchunguzi wa macho
kwa muda wa siku tano katika Skuli ya sekondari ya Kiembesamaki, (kulia)
Mkuu wa kitengo cha macho Zanzibar Dkt. Slim Mohammed Mgeni.
Naibu Waziri wa Afya
Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na wandishi wa habari kuhusu
ujio wa madaktari wa Shirika la Specsaver la Norway ambao watatoa huduma
ya macho bila malipo kwa kushirikiana na wataalamu wazalendo wa Zanzibar katika
skuli ya Kiembesamaki.
Baadhi ya waandishi wa
habari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo (hayupo pichani)
katika mkutano huo uliofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja Zanzibar. (Picha
na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
No comments:
Post a Comment