Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Featured Posts

Tuesday, 17 March 2015

WASANII 11 WA KIZAZI KIPYA WAHUBIRI AMANI Z'BAR.

Balozi Seif akitoa hotuba ya kulizindua Tamasha la Uzalendo Tanzania kwenye uwanja wa Amani lililoshuhudia na mamia ya wapenda burden hapa Zanzibar.
Msanii wa Kizazi Kipya Miki wa Pili akitoa shukrani kwa Serikali zote mbili Nchini Tanzania kuunga mkono kazi za wasanii zilizokuwa hazitambuliwi katika kipindi cha miaka kumi iliyopita .

Mashabiki wa Burdani ndani ya Viunga vya Mji wa Zanzibar wakiserebuka kwenye Tamasha la Uzalendo Tanzania lililofanyika katika Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar.

Umati wa mashabiki wa Burdani wakishuhudia waimbaji mbali mbali wa Kizazi Kipya wakifanya vitu vyao katika Jukwaa maalum lililojengwa pembezoni mwa Uwanja wa amani kwenye Tamasha la Uzalendo Tanzania.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wasanii 11 wa Kizazi kipya wanaoendesha Tamasha la Uzalendo Tanzania kabla yha klulizindua rasmi kwenye uwanja wa amani Mjini Zanzibar.

Na Othman Khamis Ame, OMPR Zanzibar.

  KUNDI  la  wasanii kumi na moja wa kizazi kipya  Ndani ya Tanzania leo limeuvamia uwanja wa michezo Amani kufanya Tamasha la Pili la Uzalendo Tanzania la Mwaka 2015...

SMZ KUINUA VIPAJI VYA WASANII.

Na Miza Kona na Maryam Kidiko-Maelezo Zanzibar.                           

   SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ina lengo la kuinua vipaji vya wasanii wa Zanzibar ili kuhakikisha kuwa kazi zinazotokana na jasho lao zinakuwa sehemu ya ajira kwao ili kuondosha usumbufu wanaoupata..

SMZ: YASEMA KVZ HAIJAVAMIA ENEO LA WAWEKEZAJI.

Na Miza Kona na Maryam Kidiko-Maelezo Zanzibar.

  SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ) hakijavamia eneo la Mwekezaji wa Kiwanda cha Sukari Mahonda...

Tuesday, 24 February 2015

SHAKA:ASEMA SHANGWE NA KEJELI HAVITAIDIA CUF 2015.

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar.
     
JUMUIYA  ya UVCCM imesema shangwe ,kejeli na mbwembwe za Chama Cha Wananchib(CUF) hazitakisaidia  kushinda uchaguzi mkuu wa  oktoba mwak huu kwa sababu si  mtaji unaokipatia chama cha siasa ushindi  bila kuwa na mgombea bora, mipango na sera zinzokubalika...

NORWAY KUTOA HUDUMA YA MATIBABU SHULE YA KIEMBE SAMAKI Z'BAR.

 Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akijibu masuala ya waandishi wa habari kuhusiana na kuwasili madaktari wa Shirika la Specsaver ambao watafanya uchunguzi wa macho kwa muda wa siku tano katika Skuli ya  sekondari ya Kiembesamaki, (kulia) Mkuu wa kitengo cha macho Zanzibar Dkt. Slim Mohammed Mgeni.
 Naibu Waziri wa Afya  Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na wandishi wa habari kuhusu  ujio wa madaktari wa Shirika la Specsaver la Norway ambao watatoa huduma ya macho bila malipo kwa kushirikiana na wataalamu wazalendo wa Zanzibar katika skuli ya Kiembesamaki.
 Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo (hayupo pichani)  katika mkutano huo uliofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

SHAKA: MAALIM SEIF UZEE UNAMTATIZA.

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar

                       
JUMUIYA ya UVCCM imemtaka Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad kuwaeleza wananchi anatumia kiasi gani cha fedha za matibabu nje ya nchi kabla hajainanga Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inayoongozwa na Rais wake Dk Ali Miohame Shein na kuiita ya kidhalimu.

Friday, 20 February 2015

DKT.SHEIN AONGOZA MAZISHI YA SALIMIN AWADH SALIMIN.


Mwili wa Marehemu Salmin Awadh  ukiingizwa  katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani kwa ajili ya kuagwa rasmi.
Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji akiongoza  waumini katika Sala ya Marehemu Salmin Awadh Salmin katika Masjid Noor Muhammad (SAW) uliopo Mtaa wa Kwamchina mwanzo. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar)
 Rais mstaafu wa Zanzibar, Dkt.Amaan Abeid Karume akisalimiana na makamo wa rais wa Tanzania Dkt.Mohamed Ghalib Bilal.
Naibu Katibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai  na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mahmoud Muhammed wakibadilisha mawazo kuhusu msiba huo. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar). 
Mamia ya wananchi waliohudhuria sala ya kumuombea Marehemu Salmin Awadh Salmin wakiutoa msikitini mwili wa marehemu kuelekea kijijini kwao Makunduchi kwa mazishi.


Na George  Simba, Zanzibar.

    RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein ameungana na Mamia ya wananchi katika mazishi ya aliyekuwa mwakilishi wa jimbo la magomeni Zanzibar, Salimin Awadh Salimin huko katika kijiji cha kijini Makunduchi Mkoa wa kusini Unguja...
 
 
Blogger Templates